Gerald Robert

Gerald Robert

Gerald Robert

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
337
Reaction score
219
Hapo juu ni jina langu halisi,
Wapendawa wenzangu, mimi ni mgeni katika page hii, ila napenda kuwa pamoja nanyi kawakuwa nimependezwa na habari zinazopatika kwenye mtandao huu, pamoja na lunga nzuri za watumiaji wake.

Tuko pamoja, tena kwa umoja. Ahsanteni
 
Karibu sana Gerald Robert,Awali ya yote ningependa ufafanuzi/kueleweshwa juu ya haya maneno....(a)Wapendawa (b)kawakuwa
 
Last edited by a moderator:
Aliyekwambia tunashida na jina lako nani?koma kutumia majina ya watu na wewe simgeni umeamua kuingia na username nyengine kwakutumia majina ya watu.
 
Karibu, ila mie ndio baba lao
Nna busara sana kule siasa na jamii intelijensi
 
Karibu, ila mie ndio baba lao
Nna busara sana kule siasa na jamii intelijensi

Gerald Robert usidanganywe, huyu Kongosho ni mtu hatari kuliko unavyoweza kufikiri. Alishawahi kumpa
mrembo mmoja ujauzito through PM (PRIVATE MASSAGE)!!
 
Akchwale yule aliniibia mimba yangu

Nimemfungulia mashtaka na kesi ipo mahakamani
Mwongozo unasema hili suala halitazungumziwa kwa sasa
Gerald Robert usidanganywe, huyu Kongosho ni mtu hatari kuliko unavyoweza kufikiri. Alishawahi kumpa
mrembo mmoja ujauzito through PM (PRIVATE MASSAGE)!!
 
Nimekugongea like Baba V,Vipi familia wanaendeleaje?Eti ni kweli Mentor amerudishwa milembe?Ni muda mrefu sijamsikia

Mkuu Mentor kakamatwa na ladyfurahia wanalima vitunguu Morogoro, si unajua yule binti akili yake imekaa kijasiriamali zaidi. Kataiti Mentor balaa, ukitaka kumwona we tafuta thread yoyote inayohusu kilimo Mentor ndo anakesha humo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom