Gerald Robert
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 337
- 219
Karibu sana Gerald Robert,Awali ya yote ningependa ufafanuzi/kueleweshwa juu ya haya maneno....(a)Wapendawa (b)kawakuwaHapo juu ni jina langu halisi,
Wapendawa wenzangu, mimi ni mgeni katika page hii, ila napenda kuwa pamoja nanyi kawakuwa nimependezwa na habari zinazopatika kwenye mtandao huu, pamoja na lunga nzuri za watumiaji wake.
Tuko pamoja, tena kwa umoja. Ahsanteni
Karibu, ila mie ndio baba lao
Nna busara sana kule siasa na jamii intelijensi
Gerald Robert usidanganywe, huyu Kongosho ni mtu hatari kuliko unavyoweza kufikiri. Alishawahi kumpa
mrembo mmoja ujauzito through PM (PRIVATE MASSAGE)!!
Karibu sana Gerald Robert,Awali ya yote ningependa ufafanuzi/kueleweshwa juu ya haya maneno....(a)Wapendawa (b)kawakuwa