Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Saa ngap mkuu
 
Mleta mada confess hii simulizi yako umeitoa kwenye movie Code Name Geronimo naitazama hapa DSTV muda huu ni exactly to what you've written
 
Mleta mada confess hii simulizi yako umeitoa kwenye movie Code Name Geronimo naitazama hapa DSTV muda huu ni exactly to what you've written
Mkuu hii inarushwa kila juma ngapi au kila siku?
 
Mleta mada confess hii simulizi yako umeitoa kwenye movie Code Name Geronimo naitazama hapa DSTV muda huu ni exactly to what you've written
kwa hiyo mkuu unataka kusema hawa kina Sheikh Khalid Mohamed, Khatani tunaowasikia kila leo kupitia vyombo vya habari vya mangaribi na tukio la kuuliwa kwa ustaadh Osama ni mambo ya fiction tu hayana ukweli wowote? kwa hiyo hata Jela la Guantanamo nalo ni hadithi ya kisadikika?
 
Hayo naweza nisiwe na majibu nayo ila Simulizi ya uzi huu yote imo kwenye hiyo movie niliyoitazama
 
Mbona hakuna uthibitisho wa picha (mwili wa Osama akiwa ameuwawa)? Au zipo?
 
Mkuu napenda sana kujifunza kuandika makala makin kama hiz inabid nikuchek pm unipe muongozo kidogo
 
Mleta mada confess hii simulizi yako umeitoa kwenye movie Code Name Geronimo naitazama hapa DSTV muda huu ni exactly to what you've written
Ni upuuzi kuongelea mada ya kipuuzi au kujibu maswali ya kipuuzi.!

Huwa sijibu maswali ya kipuuzi ila wacha tu nikujibu...

Unapoandika kuhusu kitu halisi (non-fiction story) facts huwa hazibadiliki... Yani kwa mfano waandishi kumi waandike kuhusu maisha ya magufuli, lazima Luna facts zifanane... Mfano alikuwa rais wa Tz, daktari wa kemia, umri, chama cha siasa, kampeni n.k. n.k. na kadhalika...

Hizo ni facts haziwezi kubadilika... Kwahiyo hata waandishi mia wakiandika kuhusu magufuli kuna mambo lazima yafanane... The same apllies kwenye kifo cha Osama... Yeyote atakayeshika kalamu kuandika kuhusu kifo hicho ni lazima facts zitafanana...

Lakini kila mtu ataandika kwa staili yake, swag yake, midondoko yake na usimuliaje wake...

Ujinga ni pale unapoona facts alafu wewe unasema "wamegelezeana"!

Kuna zaidi ya documentaries 20 kuhusu kifo cha Osama, kuna vitabu kibao vimechapwa kuhusu kifo chake na kuna maelfu ya makala kwenye majarida kuhusu kifo chake... Na zote kila mtu amesimulia kwa dizaini yake but facts ni zile zile...

Nina zaidi ya makala 20 humu JamiiForums, nisome alafu utaelewa The bold ni nani kabla hujaanza kufanya attacks...

But still... Una haki ya kuamini unachokitaka kichwani mwako!

Siku njema!
 
Hahaa [emoji12] [emoji12] we ndo mpuuzi umeangalia movie halafu unakuja kutusimulia humu kana kwamba you know it from the horse's mouth bila ku,recognise source,jinga kabisa! mnajifanyaga mnajuuwa sifa za kijinga [emoji30] poooom
 
Na wewe ziangalie hizo Movie halafu uje utusimulie hapa.

Usidhani kila mmoja ana kipaji hicho.

Mkuu The bold huyu hukupaswa hata kumjibu muda ambao umemjibu ni kheri ungeandika mambo mengine!

Huwa nakusoma kimya kimya mkuu..

Salute!
 
Kuna vitu ambavyo hata uelekezwaji wake unajua kabisa that is conspiracy
Mfano kuhusu kifo cha Osama kwa namna alivyowatia hasara wamarekani si wa kuuawa na mwili wake bila kuuonyesha kwa ulimwengu.

Kuhusu Guantenamo nadhani hili geteza linaonekana na linaonyeshwa kupitia taarifa zao mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…