Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Jina lako la "NI MTAZAMO TU", limesadifu uzi wako.

Aiseeeeh, bora uombe mods waufute huu uzi maana ni aibu.

Maana, ni mataputapu kabisa.
 
Haha ni kama kukwapua simu Ubungo mataaa halaf unaenda kumuuzia mtu Mbezi kumbe ndio mwenye simu!
Mbona Shigongo na makala zake mlikuwa mnanunua sana au mnafikiri alikuwa anataka wapi ,ok ila mimi naamin katika akili 2 huleta uhuru wa kifikra.
 
Binadamu wengine bana.....wewe umekopi kazi ya mtu wa humu humu, tena umeikopi humu humu, halafu mbaya zaidi ukaileta humu humu, unataka tukupe likes, na comments za kutosha

Hayo ni mambo ya kike ndugu yangu usipende vya mteremko, utakuja pakatwa siku moja..

Shwain......
 
 
Wote wanaiga the bold nae anatoa huko google anatafsiri tu,hakuna mwenye mali hapo,wakija walioandika hizo makala sijui mtasema nini
Wanatoa tu mapovu mengi yasiyo na msingi au sijui fikra finyu kuna wengine hawajui km uzi anao upost ulishapita humu

Kingine km unavyosema hii story kwa humu haina mwenyewe si nani wala cha nani kila mtu kanyapia mahali ndo kuipost,niliona hii kitu channel ya Discovery history kwa picha na videos documentary nzima sasa ile sijui ilikopiwa humu!!!??

Haiwezekani mtu amwibie mtu uzi humu aupost tena humu humu,huyu labda ni wa juzi tu jf au hajui km hii nyuzi ilishawahi kupita humu....yani wengine wanamsakama bure jamaa ka copy uzi ili sijui tuwajue km mpo so active [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…