Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Hata nyie mnashindw kutumia tu akili ya kujiongea,wamkamate osama picha zake ziwe tu ikulu na mwili wake utupwe tu kwenye bahari kiwepesi tu
 
na wew wambie wakuonyeshe picha yake baada ya kumuuwa au watoe DNA yake
DNA wanazo mpaka za ndugu yake, Kwa kuwa hawakukupa taarifa walipoenda kumkamata ndio maana hawakutaka kudisclose all evidence for his kill, it is simple like that. Nyie endeleeni kuamini hivo maana najua iliwauma sana hamkupenda kila kukicha mnatafuta reasons za kujifariji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa [emoji12] [emoji12] we ndo mpuuzi umeangalia movie halafu unakuja kutusimulia humu kana kwamba you know it from the horse's mouth bila ku,recognise source,jinga kabisa! mnajifanyaga mnajuuwa sifa za kijinga [emoji30] poooom
Nimeangalia documentary dstv, lakini story yake sio haijazama ndani sana kama ya The bold ninayoisoma humu.

Pia hata ile ya waisraeli kuokoa mateka Uganda, imekua ikionyeshwa DSTV lakini bado haijasema kilakitu. Ila nilioisoma huku ilikua imeeleza kwa kina sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga ndio kwani wote ni "CIA system" ulitaka wasemeje....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaan watu wanatoka marekani wanafanya operation ndani ya nchi yako tena karibu na camp, du hii inatisha sana. Hivi ni USA ndo wanafanya hivi tu au hata warusi, na wachina wanawezafanya hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao CIA na Obama sao wanatudanganya.

Kwanini Kama walimuua kweli Osama walikua na haraka ya kumtumbukiza baharini fasta fasta hivo.

Mtu mkubwa na msumbufu Kama Osama.

Alitakiwa akaonyeshwe hadharani uko USA na dunia nzima ishuhudie kweli Osama kauawa.

I smell a fish in this story.

Hawa CIA watakua wanatuchezea shere
 
Video yenywe mbona Ina dakika 2 afu story ya the bold ni ndefu na haiakisi ukweli wako ktk hizo dakika 2 za video yako.

Naomba ufafanuz tafadhari, yeriko
 
Ndo maana huwa nakuwaga na wasi wasi sana na chanjo toka western world mara nyingi huambatana na agenda fulani.
Hill ni kweli mkuu, hivi vimisaada vya ughaibuni vina jambo.

Kuna documentary moja inaelezea behind the scene kilichokua kinarndelea Liberia kwny mlipuko wa Ebola.

Itabidi nifanye utaratibu nimsukumie the bold aiweke vizuri kisha ailete hapa wanajamvi tupate ubuyu.

Mm sio msimuliaji mzuri in nature
 
Kwakweli haha mambo ya

"kwa hisani ya watu wa marekanj naanza kuyatilia mashaka"
 
Yaani weupe hawatupendi kweli sijui why.Always wanawaza kutumaliza tuu mara ebola mara ngoma .
Anyway ila Mungu yupo upande wetu itakula kwao tutaendelea kudunda
 
Story nzuri ila uwepo wa osama sidhani kama alikuwepo, nadhani ni image walii create kwa swala maalum na wakalimaliza kama walivyo lianza
 
Very interesting story!! ila wamerekani ni noumaaa, ubabe na fitna na Technology wanajua kuvitumia!!
 
sina hakika kama osama aliuliwa na wamarekani Bin Laden alishakufa tangu 2001, lakini maadui zetu hawatatangaza kifo chake mpaka watakapo maliza kazi na jina lake.

Nilisema hayo nikiambatanisha na ushahidi wa kutosha wa namna gani Osama anaweza kuwa ameshakufa kuliko kuwa hai, na nikaongezea kuwa maadui zetu watakapo maliza kazi na jina lake hawatosema wamemkamata bali wamemuua, tena kwa kikosi maalum.



KILIKUWA NI KIKOSI MAALUM


Na ndicho kilicho tokea. Inaonekana nilikuwa sahihi tangu mwanzo.

Sina haja ya kurudia tena hapa kuwa ni namna gani utawala wa Bush ukishirikiana na serikali vivuli za siri na asasi za siri walivyoweza kufanikisha 9/11 na kumrushia lawama zote Bin Laden. Lakini huenda baadaye nikarusha post zinazo muhusisha Bush moja kwa moja na 9/11, Ila nitakachozungumzia hapa kwa kina ni mustakabali wa ajenda nzima baada ya kifo cha bin Laden.
Kuna ushahidi wa kutosha kuwa bin Laden alishakufa tangu 2001.

Kwa kuanzia wakati Obama anatangaza kifo cha Osama Bin Laden kupitia kwenye luninga, kile ambacho watu wengi walikuwa hawakifahamu ni kuwa Obama alikuwa ni mtu wa tisa kwenye orodha ya viongozi wakubwa kiserikali kutangaza kifo hicho, yaani hiyo ilikuwa ni mara ya tisa kwa Osama kutangazwa kuwa amekufa.


Mr. OBAMA NA STAFF WAKE WAKIFUATILIA KWA MAKINI 'TUKIO'


Bin Laden alikuwa na tatizo la figo na alikuwa akihitaji mashine ya kusafishia damu , hili limeelezwa mara kadhaa na viongozi wa kiserikali wananchi mbalimbali, hivyo alishakufa muda mrefu hata kabla Obama hajakitangaza kifo hicho na yeye kuwa ni mtu wa tisa kufanya hivyo. Ni kama Osama amekufa mara tisa na kufufuka kila mara.

Wakati shambulizi la 9/11 likitokea, Osama alikuwa amelezwa kwenye hospitali ya kijeshi Pakistan akitibiwa tatizo lake hilo la figo. October 2001, Bin Laden alitokea kwenye video akiwa kavalia kijeshi na kajifunga kilemba, mwili umedhoofu na anaonekana kukonda.





BIN LADEN ALIVYOONEKANA MWAKA 2001, OKTOBA


Disemba 2001 akatokea kwenye video nyingine, akiwa kavalia kijeshi na kilemba, lakini hapa alionekana amechoka zaidi na afya yake imedhoofu maradufu kiasi kwamba hakuweza hata kunyanyua mkono wake wa kushoto.


BIN LADEN ALIVYOONEKANA MWAKA 2001, DISEMBA

Ilipofika Disemba 26, 2001, Fox News ilirusha habari iliyoichukua kutoka katika gazeti la Pakistan Observer ikisema kuwa viongozi wa Taliban walitangaza rasmi kifo cha Osama mapema mwezi Disemba 2001, na kwamba alizikwa ndani ya masaa 24 kama zilivyo taratibu za Kiislam.


TAARIFA YA TALIBAN JUU YA KIFO CHA OSAMA MWAKA 2001.


Januari 18, 2001, Rais wa Pakistan Pervez Musharraf alinukuliwa akisema kuwa, Osama Bin Laden alishakufa. Musharaf akaendelea kusema kuwa alifahamu Osama amechukua mashine mbili za kumuwezesha kuishi kama njia ya kusafishia damu yake kwa vile figo yake imekufa na mazingira ya kuhama hama anayoishi, pamoja na wataalam ambao wanahitajika kuziendesha mashine hizo, na umeme pia, ni vigumu kusema kuwa Osama yuko hai, na picha zake za hivi karibuni zinamuonesha amezidi kudhoofu.




Julai 17, 2001, kiongozi wa FBI kwenye kitengo cha kupambana na ugaidi, bwana Dale Watson alisema haya:
‘Mimi binafsi nafikiri Osama hayuko pamoja nasi tena’

October 2001, rais wa Afighanstan na kibaraka wa Illuminati, Hamid Karzai kupitia kwenye mahojiano na CNN alisema hivi,

‘ Naamini Bin Laden ameshakufa.’

Novemba 2001, Senator Harry Reid alisema kuwa ameambiwa kwamba Osama alikufa kwenye tetemeko la aridhi lilitokea Pakistan October, 2005.

September 2006, kitengo cha ujasusi cha Ufaransa kilivujisha habari kuwa Osama bin Laden amefia Pakistan.

Novemba 2, 2007, aliyekuwa waziri mkuu wa Pakistan Benazir Bhutto alisema kwenye mahusiano na kituo cha Al-Jazeera kuwa Osama bin Laden ameshauwawa na akamtaja muuaji wa Osama kuwa ni Omar Sheikh. Bhutto aliishi wiki moja tu baada ya mahojiano hayo, aliuwawa na mtu wa kujitoa muhanga.




Machi 2009, mtu aliyeshikilia wadhifa kwenye kitengo cha ulinzi cha Marekani na ambaye ni profesa katika chuo cha Buston bwana Angelo Codevilla ali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…