Wanabodi
Nimekuwa nikisumbuliwa na maamivu ya tumbo, linawaka moto kwa upande wa juu karibu na kifua, nimeenda hsptl ya muhimbili nikafanya kipimo cha endoscopy, nikagundulika na ugonjwa wa GERD, nimepewa dawa lakini hadi leo sijapata ahueni, kwa mwenye kujua utatuzi wa ugonjwa huu please anisaidie, simu yangu ni 0685100909