Mkuu unasema tu ...ila gari jipya na la kwanza weeeeehHuna haja hata ya kwenda garage cha kwanza kamwage oil incase itakuwa imeshakatika isije kuharibu components za engine. Maana gari za Yard zinakaaga mda mrefu sana parking.
Yeah mkuu service muhimu ni ya engine tu. Maana ikifa hio ni msiba. Kuna jamaa aliagiza gari kupitia kampuni ya sbt. Kaletewa na kukabidhiwa kumbe ile gari haina oil. Kapiga misele day 1 kidogo akapaki!Mkuu unasema tu ...ila gari jipya na la kwanza weeeeeh
Japo ushauri wako ni mzuri na unakomboa gharama
Oil muhim mkuu ...Muhim tena ili awe na aman amwage zote engine na gear box ili asiwe na mashakaYeah mkuu service muhimu ni ya engine tu. Maana ikifa hio ni msiba. Kuna jamaa aliagiza gari kupitia kampuni ya sbt. Kaletewa na kukabidhiwa kumbe ile gari haina oil. Kapiga misele day 1 kidogo akapaki!..
Wanakeraje??Sport rimz na mziki wewe zama lumumba muhim usiwe mtu wa jaziba make wale jamaa huwa wanakera mpaka bhasiii..
Sasa ndio ukweli.. Kitu cha kwanza ni kumwaga oil... Labda na kukagua kidogo kwenye engine kama kuna sehemu inavujisha ili kama unaipeleka gari mbali isikusumbue njianiMkuu unasema tu ...ila gari jipya na la kwanza weeeeeh
Japo ushauri wako ni mzuri na unakomboa gharama
Nilimanisha yeye anaamini kwenye gerage kubwa kwa nilivomuelewa..so kumshauri afanye yeye au kimtaan mtaanSasa ndio ukweli.. Kitu cha kwanza ni kumwaga oil... Labda na kukagua kidogo kwenye engine kama kuna sehemu inavujisha ili kama unaipeleka gari mbali isikusumbue njiani
Ule usumbufu wa kupaki gari kila mtu anataka akufanyie kitu kwenye gari lako wanaweza kuzunguka ata vijana zaidi ya 7Wanakeraje??
Ule usumbufu wa kupaki gari kila mtu anataka akufanyie kitu kwenye gari lako wanaweza kuzunguka ata vijana zaidi ya 7
Hata kama ni kutafuta ila inahitaji moyoHahahaha
Total huwa nawakubali sanaNenda sheli yoyote ya Total wambie unataka kumwaga oil