Gereji ipi wanatoa huduma ya 'vinyl wrapping' kwa hapa Bongo na gharama zake zipoje?

Gereji ipi wanatoa huduma ya 'vinyl wrapping' kwa hapa Bongo na gharama zake zipoje?

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Habari wadau,

Naomba kujua gereji ipi wanatoa huduma hii kwa hapa Bongo na je gharama zake zipoje nimetokea kuvutiwa nataka nifanye kwenye gari yangu.

1687785498235.png
 
Duuu haya ndiyo mambo gani tena vijana? Maana magari yenu mnayapamba kama nyumba
 
Back
Top Bottom