Alikudanganya. Shida yake ni hazijui hizi gari so anaziogopaKuna fundi mmoja mtaalam sana wa magari alinishauri kitu akaniambia achana na hizi nissan,akanisistiza endelea na toyota ukichoka hamia kwenye European Car.
Nimeandika kama kibwagizo,gereji nzuri ni pale kwa jerry mikocheni kama unaelekea kairuki hosp,ukifika wao wataikagua gari ni kukwambia nini kinatakiwa kubadilisha
Hii unaua injiniKwa Nissan Dualis tumia oil ya Castro 5W~40, maji ya wiper usitumie yenye chlorine ya DAWASA, yanaweka punjepunje fulani nyeupe baadae inafanya tundu za wiper zizibe, tumia maji ya chupa atlist kwa mwaka 1 bajeti ikibana rudi na maji ya dawasco
Garage nzuri ni Jerry spears mchek Instagram @255jerry
Tanzania hakuna Sheli, haya majina yanapendwa kutumiwa na watu wa mikoa ya Kaskazini sababu miaka ya nyuma kulikuwepo na vituo vya mafuta vya kampuni ya Shell, inawezekana wakati huo ndio vilivyokuwa vingi sasa watu wamezoea kituo chochote cha mafuta hata kama ni Total, Puma, Oryx wanaviita Sheli.nenda total sheli.
Hao mafundi wa chini ya mwembe hachana nao.Kuna fundi mmoja mtaalam sana wa magari alinishauri kitu akaniambia achana na hizi nissan,akanisistiza endelea na toyota ukichoka hamia kwenye European Car.
Nimeandika kama kibwagizo,gereji nzuri ni pale kwa jerry mikocheni kama unaelekea kairuki hosp,ukifika wao wataikagua gari ni kukwambia nini kinatakiwa kubadilisha
Umempa ushauri mzuri sana.Tafuta Manual ya hiyo gari ujue nini kimekuwa recomended kuweka.
Aisee.Xtrail nikitumia engine oil 20w-50 Kuna ubaya?
Sio kweli.Kwa Nissan Dualis tumia oil ya Castro 5W~40, maji ya wiper usitumie yenye chlorine ya DAWASA, yanaweka punjepunje fulani nyeupe baadae inafanya tundu za wiper zizibe, tumia maji ya chupa atlist kwa mwaka 1 bajeti ikibana rudi na maji ya dawasco
Gari haijaharibika garege ya nini? Miye napeleka pale Total last time 85k walibadili kila kitu hadi upepo waliongeza na kikaratasi juu mwisho lini niliweka Km5000
Nipe ujuzi mkuu, miye sina uelewa wa hayo magri na oil, nilienda pale kwa ajili ya servise nikapewa km za oil na bei zake nikavhukua hiyoKwanini wamekuwekea km 5,000?
Kama hujui basi pitia hii thread utapata uelewa wa aina za oil.
Thread 'Zifahamu Engine oil' Zifahamu Engine oil
Huo uzi hapo juu upitie utapata shule nzuri sana, mfano hii ni kwenye post #13 ya hiyo thread.Nipe ujuzi mkuu, miye sina uelewa wa hayo magri na oil, nilienda pale kwa ajili ya servise nikapewa km za oil na bei zake nikavhukua hiyo