Gereji nzuri kwa ajili ya gari Nissan mjini Bukoba, Geita au jijini Mwanza

Gereji nzuri kwa ajili ya gari Nissan mjini Bukoba, Geita au jijini Mwanza

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Ninahitaji gereji nzuri ya gari aina ya Nissan iliyo mjini Bukoba, Geita au jijini Mwanza.

Natamani iwe yenye wajuzi wa kutengeneza gia boksi na injini.
 
0755053972 huyu ndo *Father of gearbox and engines * kwa mwanza ...yupo kiloleli mwanza
 
Peleka maraha auto wapo karibu na fraisha jiji mwanza hautajutia
 
Uwanja wa kirumba wote umezungukwa na mafundi garage wanatengeneza hadi BMW
 
Auto siwezi kukudanganya namfahamu mchawi wa manual pekee mwanza nzima
Kuna gari linalotumia umeme linapoteza kumbukumbu.
Yaani kuna wakati linapoteza nguvu.
Ukiondoa 'terminal' kwenye betri kisha kuirudisha inapata nguvu.
Naweza kupata mtaalamu.
Nadhani wa umeme ananifaa zaidi.
 
Kuna gari linalotumia umeme linapoteza kumbukumbu.
Yaani kuna wakati linapoteza nguvu.
Ukiondoa 'terminal' kwenye betri kisha kuirudisha inapata nguvu.
Naweza kupata mtaalamu.
Nadhani wa umeme ananifaa zaidi.
Ungekuwa Mbeya au Iringa ningekuelekeza, Kuna fundi ukimuona huwezi kumdhania , yupo yupo tu ! Hajawahi shindwa kazi na sio mbahatishaji
 
Back
Top Bottom