Wadau,
Naomba mwenye kujua gereji nzuri ya Subaru kwa hapa Dar,
Kasubaru kangu kanafuka moshi sana wakati wa kuwasha,
Unatoka moshi mweupe kibao hasa inapokua imekaa kwa muda kama masaa 3,
Pia ukiwasha inachelewa kupotea japo plug na petrol filter nimeweka mpya
Subaru impreza sportwagon cc1500 year 2005
Msaada tafadhali
mkishatpata mtupe mrejesho.. maana wengine na sis ni team subbie... ila kwa kuongezea huwa mi nafanya service pale ilala karibu na machinga conplex kuna gereji bubu ya subaru.. gerej nyingine iko kule kino inaitwa 0 - 60 ni subaru tu ila wako expensive sanaMtafute huyu jamaa ni fundi mzuri sana kama upo hapa Dar 0754811820/0713155091
mkishatpata mtupe mrejesho.. maana wengine na sis ni team subbie... ila kwa kuongezea huwa mi nafanya service pale ilala karibu na machinga conplex kuna gereji bubu ya subaru.. gerej nyingine iko kule kino inaitwa 0 - 60 ni subaru tu ila wako expensive sana
Kwa Godi sio?Dogo huyo bonge Yuko vzuri Kwa subaru..Hapo kino adaestate
OVA
So between the two we unachagua hiyo ya Karume? Bei zake zikoje huyo wa Karume?mkishatpata mtupe mrejesho.. maana wengine na sis ni team subbie... ila kwa kuongezea huwa mi nafanya service pale ilala karibu na machinga conplex kuna gereji bubu ya subaru.. gerej nyingine iko kule kino inaitwa 0 - 60 ni subaru tu ila wako expensive sana
kama unavyojua garage bubu bei maelewano na fundi, na ukubwa wa kaz... si unajua garage za mtaani kufahamiana kwako na fundi ndio unafuu wa beiSo between the two we unachagua hiyo ya Karume? Bei zake zikoje huyo wa Karume?