Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28] unaeza jikuta maisha Bora unayakuta gerezani badala ya uraianiJela inazidi ghetto la huku kwetu Sinza, kwakweli nikafungwe tu.
Kwwli kabisa yaani hapo wakikupa na mtandao wee full kuchapa marimba ya mzungu ukiperuz jfKwa Hali ngumu ya maisha ilivyo,
Unaweza kutamani kafungwe jela NORWAY.
Oyaaa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Jela inazidi ghetto la huku kwetu Sinza, kwakweli nikafungwe tu.
Hauna connection ya kufika huko?Oyaaa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Tukupe mzigo uende nao huko, ukikamatwa utaishia hapo! Vipi uko tayari?Hauna connection ya kufika huko?
Hebu tuzione nazo
Niko tayari isije tu kuwa hukumu ya kukutwa nao ni kunyongwa.Tukupe mzigo uende nao huko, ukikamatwa utaishia hapo! Vipi uko tayari?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Na vipi ukikamatwa na mzigo hapa hapa Bongo, umejiandaa kwa Segerea? [emoji23][emoji23][emoji23]Niko tayari isije tu kuwa hukumu ya kukutwa nao ni kunyongwa.
,,,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah mimi ningepata hyo fursa ningejipa kesi nifungwe maisha mimi na familia yangu.. [emoji3061]
Kwa nchi zetu huku ,vibaka watafanya uhalifu wa makusudi ili wakaishi jela...