Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 7,837 Reaction score 14,198 Jun 4, 2023 #41 Jela nzuri kuliko hall 7 sehemu ya kupatia elimu ya juu bongo.
Russia is not your enemy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2023 Posts 373 Reaction score 625 Jun 4, 2023 #42 Troublemaker said: Jela inazidi ghetto la huku kwetu Sinza, kwakweli nikafungwe tu. Click to expand... Tena kifungo Cha maisha
Troublemaker said: Jela inazidi ghetto la huku kwetu Sinza, kwakweli nikafungwe tu. Click to expand... Tena kifungo Cha maisha
K Kakumamoto JF-Expert Member Joined May 6, 2015 Posts 1,237 Reaction score 1,696 Jun 4, 2023 #43 Inategemea na kosa ulilofanya, jela za traffic case haziwezi kuwa sawa na jela za wafungwa wa makosa ya ujambazi na mauaji.
Inategemea na kosa ulilofanya, jela za traffic case haziwezi kuwa sawa na jela za wafungwa wa makosa ya ujambazi na mauaji.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Jun 4, 2023 #44 Unaweza toka na kitambi na presha juu.
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,250 Reaction score 3,607 Jun 13, 2023 #45 huko Norway magerezani wanatoa na huduma ya kuzagamua mbususu tuende ?