German imefikia malengo yake ya kuhifadhi gesi kwa 75%

German imefikia malengo yake ya kuhifadhi gesi kwa 75%

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
German imeweza kufikia kiwango chake cha uhifadhi wa gesi kwa asilimia 75% .kiwango ambacho ni cha juu kabisa ,kuweza kukabiliana na kipindi cha majira ya baridi.

Kweli hawa jamaa wajanja walijifanya wanalialia kumbe wanataka waweke akiba,nilishangaa sana mzungu si mzembe kiasi hicho.

Russia plan zake za kusubiri barid ianze atumie gesi kama silaha .hatoamini atakachokumbana nacho.yangu macho.

Aljazeerah mda huu
Germany reaches 75 percent gas stocks target ahead of schedule.

German gas storage facilities were slightly more than 75 percent full last Friday, a couple of weeks ahead of target, according to data from European operators group GIE.

Germany has 23.3 billion cubic metres (bcm) of underground gas storage, a little more than a fifth of the 100 bcm of gas used in 2021.

German is at phase two of a three-stage emergency plan formulated after a reduction in gas flows from Russia, its main supplier after the beginning of the war in Ukraine.

Source aljazeera
 
Unasema kwamba wamejiandaa na kuhakikisha Gesi ya Urusi inakosa soko kipindi cha baridi?
 
Nilitegemea Hilo,wazungu hawawezi kujua kabisa kuwa msimu wa baridi unakuja halafu yule wanayemtegeme wanajua kabisa atatumia gesi kama siraha,kisha wakaendelea kukaa kizembe,[emoji848]
 
Germany imeweza kufikia kiwango chake cha uhifadhi wa gesi kwa asilimia 75% .kiwango ambacho ni cha juu kabisa ,kuweza kukabiliana na kipindi cha majira ya baridi.

Kweli hawa jamaa wajanja walijifanya wanalialia kumbe wanataka waweke akiba,nilishangaa sana mzungu si mzembe kiasi hicho.

Russia plan zake za kusubiri barid ianze atumie gesi kama silaha .hatoamini atakachokumbana nacho.yangu macho.

Aljazeerah mda huu
Germany reaches 75 percent gas stocks target ahead of schedule.

German gas storage facilities were slightly more than 75 percent full last Friday, a couple of weeks ahead of target, according to data from European operators group GIE.

Germany has 23.3 billion cubic metres (bcm) of underground gas storage, a little more than a fifth of the 100 bcm of gas used in 2021.

Germany is at phase two of a three-stage emergency plan formulated after a reduction in gas flows from Russia, its main supplier after the beginning of the war in Ukraine.

Source aljazeera
Alokwambia russia anasubir baridi awakatie gas nana?
 
Sijajua imekuaje!

Wakati nafungua Uzi wako nimeenda sambamba na kwa kufungulia kuangalia kipindi cha Master of Illusion.
 
Ni Nchi za propaganda,usiwaamini wasemacho nikakupa mfano USA alidai Iraq Ina silaha za maangamizi kumbe hawana.
Iraq na huu Uzi unauhusiano gani ebu tumia akili na Germany adanganye kw faida ya nani sababu akidanganya yeye ndo anayeumia acha uzwazwa
 
Back
Top Bottom