Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Hongera Uncle Magu kwa uongozi bora. Huku kenya tunatengeza ajira za wachina na madaktari wa Cuba..
Wanao kuchukia watakuelewa tu, wala usilegeze uvumilivu wako kwa matamshi yao ya kutojua, kila familia ina baadhi yao watoto wajinga.
Germans create 15,000 jobs in Tanzania
Wanao kuchukia watakuelewa tu, wala usilegeze uvumilivu wako kwa matamshi yao ya kutojua, kila familia ina baadhi yao watoto wajinga.
Germans create 15,000 jobs in Tanzania