Asee usi mdhulum CR7 ana 3, nayeUwanja ushaanza kupendeza na wanapasha taratiiibu
View attachment 363989
View attachment 363990
Na nawaona uwanjani kwa mbaaaali
View attachment 363991
Na tukumbuke:
View attachment 363992
Siku zote huwa unashindwa??
ouiiiiiiiiiiiiiiiiii,katavi nalia hapa ujuwe,wewe nani kakuambia utaje team?hahahahaha nimekumbuka Brazika 2014Team France
View attachment 363986
View attachment 363985
Naam, hivi ndivyo tunaanza.
Nitajitahidi sana kuweka updates as usual...
=======
Things to note:
> Euro 2016 semi-final updates from the 8pm BST kick-off in Marseille
> World champions face the hosts as Portugal await in final
=======
LIVE UPDATES:
01min: GER 0 - 0 FRA
Hahahaah Kipindi kile sijui nilikumbwa Na nuksi gani. Ila sasa nipo vizuri katika anga hizi.!ouiiiiiiiiiiiiiiiiii,katavi nalia hapa ujuwe,wewe nani kakuambia utaje team?hahahahaha nimekumbuka Brazika 2014
Hivi hizi Chanel za bongo Nani wanaonesha? Wale azam king'amuzi na zbc yao wapo hewani??Mechi imeanza
Germany watashinda hii mechi mapema.