KICHINJIO 15
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 823
- 629
Hahahaah ambayo ni ipi??Nashangilia timu itakayopokea kichapo. Staki stresi
Muller hua ninawonaga ni mchezaji wa kawaida sana, kama Wajerumani wangekua na striker mzuri jamaa angekua anaanzia bench !!Namna gani Muller hapa anakosa goli la wazi kabisa.
subutuuuGermany watashinda hii mechi mapema.
Haiwezekani.!Germany anashinda kilaini kabisa hii game.