Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
hakika mpira unafundishe saana kitu katika maisha .Yaani, hata sekunde kwenye soka ina maana kubwa
Na anaecheka mwisho ndo hucheka zaidihakika mpira unafundishe saana kitu katika maisha .
toka ureno na mpira wake wa hvyo alivyomfunga crotia niliamini mpira ni mchezo wa ajbuduuh mpira mchezo wa ajabu saana ..
Mkuu jamaa kafanya kosa la kijinga kabisa la kutanguliza mkono juu.Hmm...hiyo penati ya mashaka!