prober ze good
Senior Member
- Aug 14, 2014
- 163
- 181
Niko GermanKatika mchezo utakao pigwa leo Stade Velodrome saa nne usiku baina ya France na Germany je kuna uwezekano wa match hii kutoa goal to goal yaani kila mmoja kuona nyavu ya mwenzie?Mawazo yenu wadau wa soka
mhh kaubaguzi ka rangi kwa mbaali.Nipo kwa ufaransa kwasababu kuna weusi wengi. Na tutashinda 2-1 bila mda wa nyongeza.