Gerrad vs Lampard

Gerrad vs Lampard

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Posts
984
Reaction score
133
Naangalia hii gemu ya England na Kazakhstan.

Ni clear kwamba Gerrard na Lampard hawawezi kucheza pamoja. Yaani kama kila mmoja wao anamtegea mwenzake au ana seize kuexist. Mpaka imebidi wamtoe Barry, halafu wampeleke Gerrard kwenye defensive midfielder.

Nafikiri England hawana choice but kumchezesha mmoja wao at a time...

Tatizo nani aanze, nani asugue benchi?
 
Back
Top Bottom