Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,277
Hiyo imeshabuma!Kwani yule beberu wa Lisu anaetoa matamko ana uhusiano gani na tz?
Jinga sana jamaa
Aliyezumgumziwanani ? msigwa au mleta mada ?
Aliyezumgumziwa
Ni hatari na nusu[emoji23]sawa mkuu,naona ume mind sana hadi umesahau ku direct tusi.
ila jamaa anafanya hivo ili alinde kibarua chake,si unaona yule msemaji sasa hivi anavofanya mambo ya ajabu