Anayejiita mwandishi wa habari Field Journalist mhitimu wa shule kuu ya uandishi wa habari ni kilaza sana huyu ukisema u apply ulivyofundishwa na walimu kama Kamfipo, Katunzi na wengine hatuwezi kuwa jamii ambayo itapata taarifa sahihi, kusema vyombo vya ndani vinafanya kazi nzuri kazi nzuri ya kuisifia serikali? acha ushamba.