Gerson Msigwa anavyotetea tozo ya serikali

Gerson Msigwa anavyotetea tozo ya serikali

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hizi ni tweets zake kuhusiana na tozo zinazolalamkiwa:
 
Attachments

  • Screenshot_20220822-023417_Twitter.jpg
    Screenshot_20220822-023417_Twitter.jpg
    89.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220822-023430_Twitter.jpg
    Screenshot_20220822-023430_Twitter.jpg
    90 KB · Views: 3
Naona kaamua kuitangulia wizara ya fedha kwenye kutoa ufafanuzi!

Nina wasiwasi Mama kiti kimekuwa cha moto na ndio maana na hawa hawatulii.

Inawezekana reactions ya Wabongo kwenye tweet ya Mama kuhusiana na kifo cha Mrema imemshitua Mama maana comments nyingu zilikuwa ni za malalamiko juu ya tozo badala ya msiba husika.
 
Naona kaamua kuitangulia wizara ya fedha kwenye kutoa ufafanuzi.

Nina wasiwasi Mama kiti kimekuwa cha moto na ndio maana na hawa hawatulii.

Inawezekana reactions ya Wabongo kwenye tweet ya Mama kuhusiana na kifo cha Mrema imemshitua Mama maana comments nyingu zilikuwa ni za malalamiko juu ya tozo badala ya msiba husika.
Please salary niwekee hiyo tweet ya mama kuhusu Mrema, can not find it.................looks very interesting!
 
Hizi ni tweets zake kuhusiana na tozo zinazolalamkiwa:
Ni muhimu Mama ili kutuliza hasira amfute kazi Nape, Makamba na Mwigulu, hawa ndiyo wabaya wake ktk serikali. Wamemdanganya sana ili kuwakomoa watanzania. Tena ikiwezekana wafunguliwe kesi za uhujumu uchumi. Mama ana nia njema ila hawa eti wanasema tuhamie Burundi
 
Msigwa huwa namuona kama dishi limeyumba hivi ,hasa toka aondolewe pale ikulu.
 
ilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......tozo iendelee tena nashauri ziangaliwe njia nyingine za kuchangia maendeleo yetu sisi wenyewe, badala ya kuchangia harusi na masharehee mengine sasa tunaweza kuchangia 1200 maendeleo ya barabara zetu, hospitali, maji n.k

Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe.
tusitegemee kujengewa nchi yetu na mataifa mengine.

wala tusifikirie eti jinsi awamu ya 1 hadi ya 5 walivyo ongoza lazima ifanane na awamu hii ya 6, kila kiongozi anamaono yake ya kutuletea maendeleo.

Tutaendelea kulipa tozo bila shida yoyote.

wanao pinga tozo ni wahuni wachache wenye matatizo ya afya ya akili.
 
Back
Top Bottom