Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

Kama Sio kweli kwanini reaction yako ni dhaifu hivi? Kuna kitu hakipo sawa
 
Naenda mahakamani ndugu wataunda timu ya madaktari wakukague kama una maribda au umepoteza maribda.Ikithibitika bado hujapoteza maronda fungus kesi ndogo ya kudai fidia.OVA

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Analinda legacy ya mataga
Imeniuma kwelikweli....

Kwani hakuna mwenye HATIMILIKI ya kumchafua mwenzake hadharani.....

Msigwa ni msomi sikutegemea aongee vile....

Kwani kila swali wanaloulizwa wanahabari huwa wanajibu?!!!
 
Wakati ukiwa mataga aliyepooza kwa sababu ya chama chako ulikuwa una mkejeli Lissu alivyokuwa anasema haya halafu kipindi hiki unajidai muungwana sana na unarudia yale yale aliyosema.
Spineless.
 
Mfanyenji hata Mtendaji wa Kata atatulia kama mbwa mbwekaji aliyerushiwa mfupa
Ili msamaha uombwe si lazima kuwe na uthibitisho wa kukanusha?

Haya mambo Sufiani ameyaleta humu kwanini?? Alitaka fedheha? Au alitaka promo?
 
Gazeti limeandika April 2019 zaidi ya miaka miwili iliyopita, kwa nini unalalamika leo?
 
Kumbe we shoga, mbona Bashite alihangaika Sana kuwatafuta hukujipeleka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…