PostGE2025 Gerson Msigwa asema ataitolea ufafanuzi documentary ya CNN

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni ngumu kubishana na teknolojia yaani hapo kuna prove ya Meta ya picha na video pia kuna satelite imaginery
 
Serikali imejiweka kwenye angle ambayo hata yenyewe inatamani ifanye maandamano kujinasua hapo.
 
Kuhusu kaburi la halaiki uwongo aisee,picha za chini pale makaburini zinaonesha kuna nguzo za zege kuonesha mpaka wa kiwanja,hivi wanaweza zika mamia kwenye kiwanja cha mtu?
Unamaanisha mengine yote ni sawa? Yaani yalitokea hapa kwetu Tanzania? Yaani unakubaliana? Weka rekodi zako sawa tafadhari!
 
Nadhani makaburini ( cemetery ) ni kiwanja pia hivyo kina mipaka. Inawezekana nguzo hiyo ni mpaka wa cemetery. Sijawahi kufika hapo. Ni mawazo tu.
 
Ila Msigwa na mwonaga kama zapunga flani,Mungu anisamehe sijui kuangalia vizuri ila nahisi utotoni alidondokea kichwa fyuzi flani zikakata,Hana hata mshipa wa aibuuuu!??
 
Kuhusu kaburi la halaiki uwongo aisee,picha za chini pale makaburini zinaonesha kuna nguzo za zege kuonesha mpaka wa kiwanja,hivi wanaweza zika mamia kwenye kiwanja cha mtu?
Nadhani makaburini ( cemetery ) ni kiwanja pia hivyo kina mipaka. Inawezekana nguzo hiyo ni mpaka wa cemetery. Sijawahi kufika hapo. Ni mawazo tu.
 
Unamaanisha mengine yote ni sawa? Yaani yalitokea hapa kwetu Tanzania? Yaani unakubaliana? Weka rekodi zako sawa tafadhari!
Watu kubutuliwa ni kweli walibutuliwa,si walitaka kuipindua serikali!!
 
Attachments

  • IMG_20251118_141855.jpg
    95.4 KB · Views: 26
Nadhani makaburini ( cemetery ) ni kiwanja pia hivyo kina mipaka. Inawezekana nguzo hiyo ni mpaka wa cemetery. Sijawahi kufika hapo. Ni mawazo tu.
Sidhani,ukitazama kwa picha ya juu ni viwanja vimekatwa,vina mipaka
 
Ikiwezekana wafungie na CNN isionekane Tanzania hahahah
 
Njia pekee ya kujibu ni kuwaleta Hai wale wote wanaaoneshwa kuuawa kwenye documentary hiyo.
 
mzanzobar huyo anafuraia vifo vya wabara
 
msigwa anajifanya kila Kitu anajua sasa hapo atatoa ufafanuzi gani au anajua anakwenda kuongea na machawa wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…