4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Fungeni chuoUsiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho.
Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election"
Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.
View attachment 3360322
NO REFORMS NO ELECTIONUsiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho.
Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election"
Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.
View attachment 3360322
Msigwa ni mwizi wa vyeti hajasoma ,badala ya kupeleka vitabu anapeleka singeli😭1. Huu utaratibu wa kumzomea viongozi Wakuu wa Serikali (Katibu Mkuu Gerson Msigwa) mmeutoa wapi?
2. Uongozi wa UDOM tumieni students by-laws. Kudhibiti hao wahuni
......Ka video pliz ili tukienda kijiweni watuamini
Naona ilipaswa iwe hivyo ili ionekane hawajazomea. Sijui ni lini tutakubali kuambiwa ukweli.Kumbe walitakiwa waseme mitano tena siyo no reforms no elections
Mapema......Kumeanza kupambazuka
No reforms no election
CCM kwasababu muda wote hujizima data wanataka kila mtu ajizime data kama waoNaona ilipaswa iwe hivyo ili ionekane hawajazomea. Sijui ni lini tutakubali kuambiwa ukweli.
stupid = having or showing a great lack of intelligence or common sense.Haiwezekani wapewe mamilioni ya Hela, tena mama wa watu alivyo na huruma, akawaongezea kiasi Cha maana tu halafu wao wakitumie kuleta usela mavi wao kwenye chuo chetu pendwa.
Bodi ya mikopo zuieni fedha zote zilizoelekezwa UDOM Hadi hapo hao overgrown babies watakaposhikishwa adabu. Waachwe warudi kijijini kwanza wakawadai wazazi wao (wakulima wa kutumia chingondola) Ili akili ziwingie. Ujinga wa aina hii waliufanya sana kwa Kikwete......wakashika adabu kwa Magu lakini Sasa hivi wanaanza tena. Shukrani ya punda ni mateke
Hata sielewi; hii hapa ndio mahala pake kweli wakati huu, mkuu 'Kipanga'?Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu
Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
Nincompoop= having or showing great possibility of being fingered by ur own sister.stupid = having or showing a great lack of intelligence or common sense.
MmhKwamba Yuko kwenye Tamasha la Mama, halafu waliohudhuria wakamzomea au?