... kijarida cha chooni TANZANITE propaganda umbrella enzi za mwendazake kilitumwa kuzusha propaganda chafu kwamba Zitto na Maalimu Seif (RIP) waligombea shoga. Ili ku-balance na kujifanya haki ionekane inatendeka wanakifungia wakati waliokuwa behind the story ni hao hao!Nimejitahidi kuisoma ili niielewe sajapata picha
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
AiseeNimejitahidi kuisoma ili niielewe sajapata picha
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
... kwa hiyo ulikuwa chumbani siku hiyo ndio ukaenda kutoa taarifa?Mimi hata sishangai. Waoneni tu watu kwa nje, lakini yale wanayoyafanya wakiwa vyumbani mwao ni mazito mno.
Kuta za vyumba zingekuwa zinaongea watu wengi sana wangeumbuka.
Hahahaaaa......bwashee wapinge kwa hoja!Hilo gazeti mmiliki wake kwa sasa amejificha kwenye mbuyu baada ya basha wake kupatwa na umauti wa ghafla