Gerson Msigwa: Gazeti la Tanzanite inawezekana lilithibitisha kuwa Zitto na Maalim Seif waligombania shoga

Nani ananunua gazeti hili mfadhili wake si alishakufa
 
Ambae ndo mkaamua bora mumchukue nyie 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Huyu musiba ivi ameshamlipa fidia Fatma Karume zile bilioni 3.7 za kumchafua amabazo Mahkama kuu kule Zanzibar ilimtia hatinai kwa kuchapisha habari za uongo?

Musiba kasema hawezi kumlipa Fatuma kwa sababu hajawahi kuuza gazeti Zanzibar.

Kumbuka mahakama za Zanzibatr hazina jurisdiction over raia na makampuni ya Tanganyika yakiwemo magazeti.

Mahakama sio jambo la Muungano, isipokuwa Mahakama ya Rufaa tu. Na Musiba hawezi kujipeleka Mahakama ya Rufaa kwa saab hana cha kuogopea hukumu ambayo haina nguvu kisheria juu ya Mtanganyika. Na Fatuma hawezi kuipeleka kesi Mahakama ya Rufaa kwa saab yeye ndo kashinda kesi.

Tatizo litakuja siku Musiba kajipeleka Zanzibar na kujenga hoteli au kupata mwanamke (faida za muungano tunaambiwa) na kumpa Toyota IST iliyo katika jina Musiba. Atakuwa amewapa Zanzibar Voluntary Jurisdiction ya kukaza hukumu na kukomba mali zake ndani ya Zanzibar.

Again, hukumu za Zanzibar mwisho Chumbe Kisiwani, ambapo Abedi Karume alisema ndo mpaka wa Tanganyika na Zanzibar.
 
Huyu msigwa ni kiazi kweli, iq yake ndogo sana
 
Mimi hata sishangai. Waoneni tu watu kwa nje, lakini yale wanayoyafanya wakiwa vyumbani mwao ni mazito mno.

Kuta za vyumba zingekuwa zinaongea watu wengi sana wangeumbuka.
Kwenye hivyo vyuo na wewe ulisoma huko?
 
Mbona kodi wanazokusanya Zanzibar kupitia TRA haziishii Chumbe zinatua ardhi ya Tanganyika na kuwasaidieni kwa shughuli zenu za maendeleo yenu ya kujenga barabara, flyover, madaraja, mishahara na maposho mbali mbali lakini pia chakula chenu cha kila siku.,

Kataeni kodi za wazanzibari ili musimame wenyewe kwa miguu yenu ndio uje na kiburi cha kudharau Mahakama za Zanzibar., musiba atalipa tu.
 
pengine walitoa uthibitisho? yaani hana uhakika kazi kweli kutetea uwongo shida kubwa.
 
Umeandika kinafiki na Kilumumba sana. Pamoja na hoja dhaifu za Msigwa juu ya kulifungua Gazeti la Raia Mwema hajasema Tanzanite walithibitisha bali katumia neno HUENDA walithibitisha....
Mimi nasema mwandishi wa Star TV amembana vilivyo huyo Msigwa mpaka akapaniki. Alitumia mfano mzuri sana wa gazeti la Tanzanite kwa kuripoti ushoga na hakuna chochote kilichofanyika, na ndiyo maana alibaki katoa macho tuu...
 
Vipi na wewe umeshawahi kupakatwa mkiwa chobingo?
 
Unamjua Mhariri mkuu wa Tanzanite Habib Mchange na historia yake ya kisiasa?
Huyu alikuwa masalia na alifukuzwa na akina Shonza.Aliuza ubunge Kibaha kwa Koka.Ni msaliti Kama wengine,alikimbilia ACT wazalendo baadaye akajiunga CCM.
 
Huu ushuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…