Gerson Msigwa: Gazeti la Tanzanite inawezekana lilithibitisha kuwa Zitto na Maalim Seif waligombania shoga

hivi hii tanzania nani katuloga???????? hivi ni kweli watanzania wameenda shule???? hivi ni kweli baadaye wajukuu watatuelewa??? ni hayo tuuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
..matusi na udhalilishaji wa genge la Magufuli.

..leo ndio wanaolialia kila wakati. Hata wakisemwa wengine wanaona wamesemwa wao.
 
..Maalim Seif kwa umri aliokuwa nao angeweza kumzaa Gerson Msigwa.

..huyu bwana mdogo Msigwa alimkosea adadu yule Mzee.
Msigwa ni fala Sana na kilaza mkubwa. Maalimu Seif aliweza kuwa baba yake. Ndio maana chama cha mambuzi wanalaanika!
 
Msigwa ni fala Sana na kilaza mkubwa. Maalimu Seif aliweza kuwa baba yake. Ndio maana chama cha mambuzi wanalaanika!

..Ni ulevi wa madaraka.

..Kila mtu alikuwa kalewa chakari kulingana na nafasi aliyokuwa nayo.

..Walijisahau wakaamini Magufuli atadumu madarakani.
 
Suphian Juma

Kuna file lako huku, ngoja member waingie chimbo kukufukua
Madhara aliyo sababishiwa huyu suphian psychological ni makubwa sana! Vile tupo AFRICA TU! Lakini hili kovu halitaisha leo wala mwakani. Mpaka watoto litakuja kuwaathir . Inasemwa kilichoandikwa hakifutiki
Cha kushangaza bwana suphian yupo na watu wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…