Huja connect dots tu!!! jiwe alikuwa anawatania ila wao hawamtanii, hata kumkosoa huwezi kama kumtania tu huweziBinadamu yeyote akisikia usingizi analala, mimi sijaona ajabu lolote hapo. Vp amesemaje kuhusu kama ukimkosoa anakufanyaje! Au hili hajalisema....
Gaidi analala?Kwa hiyo alikuwa hajui faida ya kulala?
Kuna wakati mtu anaweza kufikiri anamsifia mtu kumbe ana muanika kuwa hakuwa na mipango na hajui kanuni za afya.
Ukikosa kupumzika hata dish lazima licheze, jee ndio maana lilicheza?
Na asiposikia njaa na wasaidizi hawali chakula ?Kwa hiyo Rais akilala na wasaidizi wake wanalala..wakutane asubuhi..?
Charles mbowe nae anewahishwa mapema kwa sababu gani?Ndo maana kawahishwa mpema.kama kwa kutolala kule ndo alikuw anatutesa hivi watoto wa wenzie bora kalala.