Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
asingepata nafasi ya juu hivi labda angekuwepo zaidiLakini kufuatana na hali ya afya yake, alistahili kupata muda wa kutosha wa kupumzika.
Wasaidizi wake, huku wakijua hali yake ya afya, hili la kutopumzika, hawakustahili kujisifia. Walishindwa kumlinda boss wao.
Nchi iliingia uchumi wa katiALIKUWA HALALI KUUA UCHUMI WATANZANIA. NI BORA AMELALA MILELE.
MIAKA 6 UNASHINDWA HATA KUTOA AJIRA ZA WAALIMU, MADAKTARI NA MANESI??!!!
WASTAAFU HAWAJALIPWA PENSHENI TANGU 2017!!!
LALA SALAMA SHETANI MAGU!
Hiyo inaitwa Insomnia.Msemaji mkuu wa serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote hamtalala usiku huo.
Gerson Msigwa alikuwa msemaji wa Ikulu kwenye serikali ya awamu ya tano.View attachment 1981189
Mkuu hili umewachomekea tuNa asiposikia njaa na wasaidizi hawali chakula ?
HahahaMkuu hili umewachomekea tu
Fikiria umtwange mtu shaba ya kichwa then uende chumbani na kujifunika shuka ukidhani utalala, hulali akyanani. Ndiyo maana hata askari wakitoka vitani hawalali ng'oo mpaka canceling ya maana.Madikteta wote Duniani huwa hawalali kwasababu ya Damu na Zuluma dhidi ya Wanaowatawala.
Huenda sasa taratibu Watanzania tunaanza Kuambiwa ukweli wa sababu ya Kifo chake cha ghafla.Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa Hayati Rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote hamtalala usiku huo.
Gerson Msigwa alikuwa Msemaji wa Ikulu kwenye Serikali ya awamu ya tano.View attachment 1981189
haujaelewaBinadamu yeyote akisikia usingizi analala, mimi sijaona ajabu lolote hapo. Vp amesemaje kuhusu kama ukimkosoa anakufanyaje! Au hili hajalisema....
Walikuwa wanalipwa overtime au punda afe mzigo ufike?Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa Hayati Rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote hamtalala usiku huo.
Gerson Msigwa alikuwa Msemaji wa Ikulu kwenye Serikali ya awamu ya tano.View attachment 1981189
Sawa mke wa GaidiFicha upu.... wako, onyesha hekima zako
Na wewe una dalili za kuwa sleep depriven,akili hamna umawazia makato.Hapa habari za basha wako Mbowe zimetokea wapi?Charles mbowe nae anewahishwa mapema kwa sababu gani?
Binadamu yeyote akisikia usingizi analala, mimi sijaona ajabu lolote hapo. Vp amesemaje kuhusu kama ukimkosoa anakufanyaje! Au hili hajalisema....
Kwa hiyo alikuwa hajui faida ya kulala?
Kuna wakati mtu anaweza kufikiri anamsifia mtu kumbe ana muanika kuwa hakuwa na mipango na hajui kanuni za afya.
Ukikosa kupumzika hata dish lazima licheze, jee ndio maana lilicheza?