Gerson Msigwa: Hayati Rais Magufuli asipolala, hamlali

Sasa nimeamini kuwa JPM alikuwa na tatizo la akili. Mtu kukosa usingizi ni dalili mojawapo ya tatizo la kisaikolojia. Sasa mngekuwa mnampa Temesta. Hapo lazima alale. Atake asitake.

amini pia mbowe ni gaidi.

au vipi.
 
acha wenge wewe.

keshini watu hawalali wiki 6 na hakuna maajabu.
ijekuwa huyu anayesinzia akitaka!!!
 
wengine mnalala baada tu ya kushiba.wengine sababu ya majukumu usingizi unakatika.
Tumia akili kidogo kusoma nini ameandika Msigwa na hali halisi.
Kwa taarifa yako mtu mwenye power ya maamuzi kama Rais ni muhimu sana kufuata ratiba ya kupimzika.
Na kukosa usingizi ni aina fulani ya kichaa, nimemkumbuka Diallo katika hili
 
acha upumbavu mkuu,una umri mkubwa kuliko urefu ulio nao.

ukiwa kiongozi hata wa familia kuna ainayokutizama utaelewa kwanini tais anakosa usingizi,vinginevyo endelea na chiki zako za kindezi.
 
Kwahiyo Bi Janeth alikuwa hapati haki zake za msingi?

Mabaharia tumieni fursa hii, kuna kibarua pale cha kupiga deki.
 
amini pia mbowe ni gaidi.

au vipi.
Hata Mandela wale makaburu walimuita gaidi na kumfunga lakini baadae uwepo wa Mandela ndio ulisababisha wanaishi mpaka leo.
Bila Mandela, uwezekano wa makaburu kuchinjwa wote na kufutika kule SA ulikuwa mkubwa sana.
Subirini wana ccm, kuna siku mtamlilia Mbowe awaombee kwa wananchi wawaonee huruma wasiwaadhibu
 
Haya sasa kalala. Mbona na yeye halali?
 
Kwahiyo Bi Janeth alikuwa hapati haki zake za msingi?

Mabaharia tumieni fursa hii, kuna kibarua pale cha kupiga deki.

masikini hiki ndio kipaumbele chake.

mama ni mtu mzima sasa 50+ huo muda wa kuendelea kukumbuka mpini muda wote kaachia vigori kama wewe.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
acha upumbavu mkuu,una umri mkubwa kuliko urefu ulio nao.

ukiwa kiongozi hata wa familia kuna ainayokutizama utaelewa kwanini tais anakosa usingizi,vinginevyo endelea na chiki zako za kindezi.
Kukosa usingizi kwa kiongozi wa familia linapaswa kuwa jambo la muda tuu hasa kama kuna jambo limekitokeza linahitaki utatuzi wa dharula.
Lakini eti kukosa usingizi kuwa ni sifa ya kiongozi basi ujue kuna kasoro na lazima maamuzi ya kiongozi huyo yatakuwa ya hovyo
 
Alikuwa anakesha kuligharimu taifa raisi wa hovyo sana
 
Alikuwa anakesha kuligharimu taifa raisi wa hovyo sana
Linakosa usingizi, kisha anakuja amevurugwa na kutoa maamuzi ya hovyo na yenye kisirani na chuki juu.
2015 to 2021 March taifa lilipoteza uelekeo
 
Msigwa atueleze kwamba je hana familia? Na je mkurugenzi wa mawasiliano ikulu naye anaishi ikulu?

Maana kama ADC huwa anarudi nyumbani kwake kuungana na familia yake iweje Msigwa akeshe na mwanaume mwenzake?

Ndio maana upumbavu ulikuwa mwingi jitu kubwa zima likiongea utalisikia bila aibu eti "ikikupendeza mheshimiwa Rais 123" stupid kabisa.
 
hujaambiwa kila siku anakosa usingizi.

wewe kama kiongozi wa familia unakosa usingizi mara moja hata kwa mwezi,maana hakuna matatizo ya mara kwa mara yanayohitaji utatuzi.
 
Linakosa usingizi, kisha anakuja amevurugwa na kutoa maamuzi ya hovyo na yenye kisirani na chuki juu.
2015 to 2021 March taifa lilipoteza uelekeo

Ukimwaga sana damu za watu ni ngum kupata usingizi
 
masikini hiki ndio kipaumbele chake.

mama ni mtu mzima sasa 50+ huo muda wa kuendelea kukumbuka mpini muda wote kaachia vigori kama wewe.
Wewe akili huna mtu wa mashambani, tuliopo mjini tunawajuwa hao ndio wanawaonga watoto wadogo mpaka magari vumbi la congo likiwakolea.
 
Tumia akili kidogo kusoma nini ameandika Msigwa na hali halisi.
Kwa taarifa yako mtu mwenye power ya maamuzi kama Rais ni muhimu sana kufuata ratiba ya kupimzika.
Na kukosa usingizi ni aina fulani ya kichaa, nimemkumbuka Diallo katika hili
Gaidi Mbowe ana power ya nini ?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…