Gerson Msigwa, helicopter zingesaidia hata evacuation na rescue, au helicopter zinaweza kupeperushia bendera ya Sensa tu

Gerson Msigwa, helicopter zingesaidia hata evacuation na rescue, au helicopter zinaweza kupeperushia bendera ya Sensa tu

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668


We need mabadiliko makubwa sana yan hata tunayodhani tunahitaji basi tunahitaji zaidi haya .

Nimejaribu kutafakari press ya Msigwa nimengundua tuna safari ndefu sana na hawa viongozi, Kuna haja gani ya maelezo? kama haya ndio maelezo ya Ikulu basi ni bora wangekaa kimya kungekuwa bora zaidi.

Hizo hizo helicopter zingesaidia hata evacuation na rescue.. kama zinaweza kusafirisha zinashindwaje kufanya kazi ya rescue na evacuation. Huyo jamaa ni lier, never trust politicians. Mbona kwenye maonesho waga wana demonstrate kufanya rescue na evacuations

Kiwanja vya Mwanza na Bukoba viko kando ya ziwa kuna uwezekano wa ndege kutua ziwani lakini kwa akili za viongozi wetu huu ni mtahani kutafakari. Swali ni je, mlichukua hatua gani za tahadhari? Kwanini msinunue helicopter za uokoaji zenye uwezo wa kunyanyua vitu vizito? Vipaumbele ni V8 maana maisha sio muhimu

Ujinga wa viongozi ni upumbavu wa wananchi katika nchi hii.
 
Back
Top Bottom