Gerson Msigwa: Inachofanya JamiiCheck kinatakiwa kifanywe na Wanahabari Kitaaluma

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa wito kwa Wanahabari kuwa na kawaida ya kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza kama ambavyo imekuwa ikifanywa na JamiiCheck.com

Msigwa amezungumza hayo wakati akichangia mada katika Mkutano wa Wadau kujadili Mchango wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, leo Julai 9, 2025

Amesema “Nimeona Watu wa JamiiForums wana kitu kinaitwa JamiiCheck, wanachofanya ndio kilekile tulichoijifunza shuleni kwamba unachotaka kukichapisha jiridhishe kuwa ni sahihi?”
 
Yaani huyo Msigwa ameona Jamii check pekee ndio kitu cha maana hapa JF cha kupaswa kuigwa na vyombo vingine vya habari?

Hajaona uhuru wa kuhabarisha, uhuru wa kutoa maoni, uhuru wa kukosoa serikali uliopo hapa JF.

Poor Msigwa!
 
Aanze na waandishi wa ccm
 
Mtumishi umma anayetamani watumishi wote wavae sare sa chama
 
Serikari yenu ni ya kike eti nikipindi cha uchaguzi zisitolewe habar za utekaji et watavuruga aman na kura zitapungua wachaw hao nikipind cha wao kutoa kafara ili shetan afurah damu za watu wapewe nguvu na wizi washinde
 
Je hajazungumzia kuhusu NO Reform no election ajenda ya kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…