Safi sanaa mwee😂Mwenyewe nioko zako..!! 😹
hii ni maajabuKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa wito kwa Wanahabari kuwa na kawaida ya kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza kama ambavyo imekuwa ikifanywa na JamiiCheck.com
Msigwa amezungumza hayo wakati akichangia mada katika Mkutano wa Wadau kujadili Mchango wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, leo Julai 9, 2025
Amesema “Nimeona Watu wa JamiiForums wana kitu kinaitwa JamiiCheck, wanachofanya ndio kilekile tulichoijifunza shuleni kwamba unachotaka kukichapisha jiridhishe kuwa ni sahihi?”
Gerson Msigwahii ni maajabu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa wito kwa Wanahabari kuwa na kawaida ya kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza kama ambavyo imekuwa ikifanywa na JamiiCheck.com
Msigwa amezungumza hayo wakati akichangia mada katika Mkutano wa Wadau kujadili Mchango wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, leo Julai 9, 2025
Amesema “Nimeona Watu wa JamiiForums wana kitu kinaitwa JamiiCheck, wanachofanya ndio kilekile tulichoijifunza shuleni kwamba unachotaka kukichapisha jiridhishe kuwa ni sahihi?”
Kama nilivyosema Calm before the Storm.....Moja kwamba wanahabari hawana wahariri ?
Mbili forum kama hii ni user generated kwahio JF hawapo liable kwa ukweli wa habari yoyote ile ila kwa zile chache ambazo zina chata ya jamii check (kwamba wamecheki hio habari) On that token sidhani kama kuna chombo cha habari chochote kitarusha habari bila kufanya due diligence na kama ikitokea basi hio ni ajali kazini....
In short huyu jamaa habari yake ingehitaji kuchekiwa kuhusu ukweli wake (kwamba wanahabari wenye vyombo vyao ambavyo wanaweza kufungiwa wakati wowote wanajirushia tu habari bila kupitia kwa mhariri)
A lie of Omission is still a Lie.....
Angalizo hii isijekuwa Calm before the Storm; Yaani kinachofuata ni kuwaambia wadau habari yoyote ambayo haijapitiwa basi isirushwe..... (Kuwaondolea ile plausible deniability)