Gerson Msigwa kaondoka Ikulu nafasi ipo wazi, Pascal Mayalla ana nafasi ya kulamba uteuzi

Mayala si mzee yule kafikisha umri wa kustafu akafanyaje kazi na uzee
 
Huwezi kuwa na msemaji mwenye ndimi mbili
 
Pascal Mayalla ni mdini pure...rejea Nyuzi zake hasa zilef
zenye malumbano na Mzee Saidi Mohamed
 
Mayalla hawezi kupewa kitengo ikulu kwa sababu ni mropokaji asiyeweza kutunza siri. Kitendo cha kujinasibu humu ndani kwamba baba yake na ndugu zake wamewahi kutumikia idara nyeti kinatosha kabisa kuthibitisha uropokaji wake.
Hata hivyo, mayalla hawezi kukaa na jambo lolote moyoni mwake mara nyingi anapokuwa na kitu rohoni point ya kwanza ni kuja kukianzishia uzi hapa jamii forum. Sasa mtu kama huyu kumpa kitengo ikulu ni sawa na kuivua nchi nguo
 
Hayati aliwahi kusema kwao maana ya Mayalla ni njaa.
 
Huyu mayala (njaa) inaweza ikawa imefika hadi kichwani...
 
Huyo mchumia tumbo tunampa nafasi ya kua mwandishi wa kaburi kule kilimani,jamaa anazeeka na unafiki wake
 
Huyo mchumia tumbo tunampa nafasi ya kua mwandishi wa kaburi kule kilimani,jamaa anazeeka na unafiki wake

Mbona yuko vizuri sana,inategemea unamsoma ukiwa angle gani.
 
sawa mayala
hongera kwa kujipigia kampeni mama atakuona kipindi hiki
 
Pascal anafaa kukaa huku nje lakini anastahili kuwa mshauri mwandamizi wa masuala ya Public Relations hata kwa wizara ya habari, vyombo na idara za serikali na hata taasisi binafsi. Shida pia nchi yetu haijui kuwatumia watu wa aina hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…