Sheria ya kifungu kipi bwana msigwa?"Kesho ni siku ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aliitangaza hakutakuwa na sherehe lakini hatutarajii kesho kuna watu watathubutu kuvunja sheria kwa kufanya matendo ambayo yanavunja amani.
"Na tukio lolote la kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria. Hatutarajii kuwepo kwa maandamano kwa sababu hakuna kibali kiliombwa na kilichotolewa" Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali.
Huyu vuvuzela siku zake zinahesabika"Kesho ni siku ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aliitangaza hakutakuwa na sherehe lakini hatutarajii kesho kuna watu watathubutu kuvunja sheria kwa kufanya matendo ambayo yanavunja amani.
"Na tukio lolote la kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria. Hatutarajii kuwepo kwa maandamano kwa sababu hakuna kibali kiliombwa na kilichotolewa" Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali.
View attachment 3512943
Mbona viongozi wa nchi wao ndio vinara wa kuvunja katiba na sheria za nchi!? Watuache tafadhali! TUMECHOKA!"Kesho ni siku ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aliitangaza hakutakuwa na sherehe lakini hatutarajii kesho kuna watu watathubutu kuvunja sheria kwa kufanya matendo ambayo yanavunja amani.
"Na tukio lolote la kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria. Hatutarajii kuwepo kwa maandamano kwa sababu hakuna kibali kiliombwa na kilichotolewa" Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali.
View attachment 3512943
Tena zinahesabika saanaHuyu vuvuzela siku zake zinahesabika