kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Akizungumza na wanahabari amesema serikali imesaini na kutoa lesi mbili, moja huko Songwe na nyingine Mwanza. Hizi ni leseni za uchimbaji wa madini.
Najiuliza kwanini migodi hii miwili iliyokatika maeneo tofauti gharama au thamani zake zifanane ambazo anadai ni trilioni 2.3 au dola laki moja.
Swali la ufikirishi, dola laki moja ni sawa na trilioni 2.3?
Tunaupiga mwingi