Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali Tanzania-Uchaguzi ni sherehe

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Hii ni nukuu muhimu iliyotoka kwa msemaji wa Serikali nchini Tanzania.

Kwenye chaguzi zetu wanasiasa huwa wanatumia wasanii mbalimbali hususani wanamuziki kuvutia watu wafike kwenye mikutano na kusikia sera..

Wengi hufika kusikia na kuwaona wanasanaa wa muziki hivyo kwetu Tanzania Uchaguzi ni sherehe sio uhasama
 
View attachment 3355168
Na kweli ni sherehe ya kuiba kura.

Kipindi hiki wajinga wamepungua umebaki wewe na wenzio wachache.
Sijui haya mazwazwa ya chama cha mambuzi wanasemaje kuhusu huu ushahidi!!
jingalao
Mtoto wa Shule
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Stuxnet

Hivi MamaSamia2025 , kuna haja ya haya kufanywa na chama chenye wanachama milioni 13+!!!???

Kuna haja ya watu kufanywa vilema au kuuwawa kwenye mchakato wa uchaguzi ili tu chama/mtu fulani ashinde!!???
 
Kwenye hili sitajibu chochote, bali niseme mwandishi wa riwaya James Hadley Chase aliwahi kuandika riwaya akaipa jina, "Believe This and You'll Believe Anything"! Kasome hicho kitabu. Kitakusaidia sana.
 
umenitag kwenye comment isiyo na mantiki
Lakini umejibu comment isiyo na mantiki!!!!???

Napendekeza mbio za mwenge zisitishwe na mwenge uwekwe makumbusho ili tuokoe kizazi kinachotokana na mimba zinazotungwa kwenye mikesha ya mwenge na kupelekea kuwa na mataahira kama hivi.
 
Kwenye hili sitajibu chochote, bali niseme mwandishi wa riwaya James Hadley Chase aliwahi kuandika riwaya akaipa jina, "Believe This and You'll Believe Anything"! Kasome hicho kitabu. Kitakusaidia sana.
Duuuh!!!
Mimi nimesoma colabo ya Marx & Engels, unaniambia hivyo vya mjukuu wangu!!??
 
Duh ila huyu mnyalu ni shida kwa hiyo uchaguzi sio mkakati wa maendeleo bali sherehe,hatari mno aisee.
 
Kwenye hili sitajibu chochote, bali niseme mwandishi wa riwaya James Hadley Chase aliwahi kuandika riwaya akaipa jina, "Believe This and You'll Believe Anything"! Kasome hicho kitabu. Kitakusaidia sana.
Huyo mwandishi hana haiba ya kusomwa na mimi
 
Kasema kweli ni sherehe zao za kuiba kura
 
Hajulikani na wala hana haiba ya kujulikana.
Wewe unamfahamu canadian writer anaitwa Frederick Froschy?
Namfahamu. Nikupe details zake? Ila usitoe povu sana. James Hadley Chase ni mmoja wa waandishi watano bora America. Ila kama humjui poa.
 
ccm huwa wanasherekea ushindi upi...wa maradaka yaliyopatikana kwa uwizi ?
 
Hajulikani na wala hana haiba ya kujulikana.
Wewe unamfahamu canadian writer anaitwa Frederick Froschy?
Inakuwaje hamnazo mnajibizana? Tena kuhusu magwiji Frederick Forsyth (?) na J. H. Chase? Wote si wamoja nyinyi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…