Tengeneza Njia
Senior Member
- Jul 29, 2022
- 121
- 205
Msemaji wa Serikali - Kama cheo kinavyoonyesha uzito wake. Bora leo usingeisemea tu hii serikali ukalala au ukaenda zako Barra Beach kula prawns.
Umeshindwa kujisikiliza mwenyewe kwanza chumbani kwenye kioo na kufanyia majaribio hiki ulichokisema kwa wananchi juu ya ajali kubwa kama hii na kujua kwamba kusema uozo kama "helikopta zilizonunuliwa na serikali si za kunyanyulia ndege". Dharura? Kijiki, uma na kisu kikikosekana mezani hutatumia mikono kula?
Ingekuwa nchi za wenzetu wanaojua kuwa uongozi ni dhamana kwa kukubali uzembe uliofanyika katika hili hata viongzi wangeachina madaraka na kuwapisha wengine - huo ndo uzalendo wenyewe!
Dah, mnatusikitisha sana!