Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao

Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema badala ya baadhi ya watu kuwahamasisha vijana kujihusisha na shughuli za uzalishaji na ujasiriamali, wamekuwa wakiwahamasisha kutoa fedha walizonazo kwa maslahi ya watu wengine.

“Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao”

Amesema Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu inaendelea kuhimiza vijana kutumia fursa zilizopo katika kilimo, ufugaji, biashara na sekta nyingine za uchumi ili kuongeza kipato chao, akisisitiza kuwa serikali ipo tayari kushirikiana nao katika kukuza uchumi wao.

 
Back
Top Bottom