Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Mimi sielewi maana anao ekana msemaji wa ccm serikali na ikulu kwa ujumlaNaomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji mkuu wa serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa
Huyo kwenye avatar ni wewe??Mimi sielewi maana anao ekana msemaji wa ccm serikali na ikulu kwa ujumla
AringeHuyo kwenye avatar ni wewe??
Sio yeyeHuyo kwenye avatar ni wewe??
Anaweka saini kwa niaba ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu, kwenye saini yake kushoto kuna mstari uko slanted, kuashiria AMESIGN KWA NIABA. Chunguza saini/sahihi zake za nyuma enzi za JPM na za sasa enzi za SSHNaomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji mkuu wa serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa
Kama sijakosea ni Mkurugenzi wa Mawaziliano Ikulu na pia msemaji mkuu wa serikaliNaomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji mkuu wa serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa
Wanatuchanganya sasaSikumbuki kama msemaji wa Ikulu aliteuliwa nafkr bado ana kaimu yeye
@AbriannaMimi sielewi maana anao ekana msemaji wa ccm serikali na ikulu kwa ujumla
Naomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji mkuu wa serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa
Kama anakaimu angekuwa anaandika ni Kaimu basi tuelewe mojaSikumbuki kama msemaji wa Ikulu aliteuliwa nafkr bado ana kaimu yeye
Jamani hebu tuacheni 'Nongwa' rejeeni katika zile 'Teuzi' za Mama baada ya kufanya Mabadiliko ilitangazwa wazi kabisa kuwa Gerson Msigwa ni both Msemaji wa Ikulu na Serikali.Sikumbuki kama msemaji wa Ikulu aliteuliwa nafkr bado ana kaimu yeye
Unaonekana humpendi Gerson Msigwa, wala usihangaike through trend reading huyo anaonesha hana siku nyingi atatolewa kwenye hicho cheo cha msemaji wa ikulu, kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali ni kama njia ya kuelekea kumchomoa ikuluNaomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji mkuu wa serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa
Rais ndio Serikali yenyeweAnaweka saini kwa niaba ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu, kwenye saini yake kushoto kuna mstari uko slanted, kuashiria AMESIGN KWA NIABA. Chunguza saini/sahihi zake za nyuma enzi za JPM na za sasa enzi za SSH
Unawezaje kukaimu nafasi ulivyokua nayo na hujatenguliwa!?Kama anakaimu angekuwa anaandika ni Kaimu basi tuelewe moja
mtu ambaye hafuatilii mambo anakua ni mswahili mswahili?! 😲Jamani hebu tuacheni 'Nongwa' rejeeni katika zile 'Teuzi' za Mama baada ya kufanya Mabadiliko ilitangazwa wazi kabisa kuwa Gerson Msigwa ni both Msemaji wa Ikulu na Serikali.
Tujitahidi sana Kufuatilia Habari nchini ili tusije kuonekana ni Watu 'Wapuuzi' ambao tumekalia tu Majungu na Uswahili Uswahili tupu. Kuna Mambo yanasikitisha na Kukera pia.
Cc: tashwishwi