Gerson Msigwa ni Msemaji wa Serikali au Msemaji wa Ikulu?

Connection tu mzee ,bongo hamna kinachoshindikana 😁
 
Anasaini kwa niaba ya mkurugenzi wa mawasilisno ikulu
Angalia kushoto kwa saini yake Kuna mkwaju
 
Kwa jinsi nilivyomuona Msigwa na ule uMC anaopenda kufanya sidhani kama anaweza kazi ya Msemaji mkuu wa serikali. Yupo kama reporter vile.
 
Shida ya wabongo inaanzia hapa kwamba kila anaueuliza kutaka ufafanuzi basi ana nongwa. Mkuu hizi ni taasisi za serikali kuuliza ili kuwa aware ni nzuri zaidi. Anagali hapa yeye mwenyewe amekiri kwamba ni former director wa ikulu. Kati ya wew na yeye nani mkweli?
 
Unaonekana humpendi Gerson Msigwa, wala usihangaike through trend reading huyo anaonesha hana siku nyingi atatolewa kwenye hicho cheo cha msemaji wa ikulu, kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali ni kama njia ya kuelekea kumchomoa ikulu
Hivi andiko langu linaonesha popote kwamba nina chuki?
 
Rejea tu Maelezo ya Uteuzi wake mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…