GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwahiyo kuanzia sasa Wewe jikite tu na Kuhangaika na Shughuli za Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ukiwa kama Katibu Mkuu wake.
Haya ya sijui kuita Media au Kuisemea Serikali, Kumsemea Rais Samia na hata lile Zoezi la Kugawa Mamilioni ya Motisha kwa Vilabu vya Simba, Yanga, Taifa Stars na Twiga Stars kwa sasa hayakuhusu na muachie Mtu mpya na Mahiri kukuzidi aliyeteuliwa Poti wangu kutoka Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma ) sawa?
Na nyie Waandishi wa Habari acheni Kuogopa, Kumuogopa na Kujipendekeza kwa Gerson Msigwa kwani kwa sasa si Bosi wenu tena, hana Jipya na kamwe asiwatisheni tisheni na mjue kuwa Boss Wenu na hata Yeye Gerson Msigwa pia Boss wake ( Kihabari na Kimawasiliano ) ni huyu Mwamba Poti Mobhare Matinyi sawa?