Gerson Msigwa: Serikali hatujawahi kwenda kwenye chombo chochote cha habari kufukuza mtu

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Mnakumbuka kuwa kuna waandishi na watangazaji siku hizi hatuwasikii redioni kabisa. Tulivyouliza tukaambiwa kuwa ni kwa sababu hawana taaluma au hawajasomea uandishi wa habari?

Alitajwa masoud kipanya, fetty na kina Zembwela

Gerson Msigwa akiwa anazungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 amesema Serikali bado haijaanza fukuza fukuza ya waandishi wa habari kwenye hivyo na kwamba wamiliki wa hivyo vituo ndio ambao wamewaondoa watangazaji wasio na vigezo, again sio serikali

Msikilizeni hapa

Your browser is not able to display this video.
 
Huyo nyau ni kigeugeu.sijui km anajielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…