Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema sio lazima kwa sasa kuwapekeka vijana nje kujifunza ujuzi unaohusu uendeshaji wa Bandari.
Amesisitiza kuwa Unaweza kuwapeleka vijana huko, lakini njia nzuri ni kuwaleta DP World hapa ili vijana wengi wapate uwezo na nafasi ya kujifunza wakiwa hapa hapa nchini kuliko kupeleka wachache.
Serikali imewahi kupeleka vijana wengi kabla na sasa imeona ilete wawekezaji hapahapa nchini ili kukuza ujuzi wa watu wa ndani.
Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)