PostGE2025 Gerson Msigwa: Vituo 672 vya mafuta vilichomwa moto

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ana idadi yake zaidi ya wale umoja wa wenye vituo ambao wenyewe walisema ni less than 50 vipi mbona kwenye madhara hawasemi vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa na kushindwa kutoa hata matokeo? Tupo hapa tulipo na tumefika hapa kwa aina ya watu kama hawa wasio na uwezo
 
Takwimu za vituo wanavyo ila waliofariki hawana
 
Na manyonyo alisema cha kushukuru mungu vurugu zilianza kwenye saa 6 mchana wakati walio mpa ushindi wa 97% walikua wamesha piga kula
 
Bado tunatafakari kura milioni 31 mmezitoa wapi mnatuongezea dozi nyingine kutoka vituo vya mafuta 41 mpaka 600 kweli hii sasa ndiyo serikali haramu kuna kazi kubwa sana tuendako Mungu anawaumbua kila kukicha
 
TANZANIA nzima hamna vituoe600+... Aache kupika data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…