Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,383 Reaction score 18,776 Oct 13, 2025 #1 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya dola vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi wa Oktoba 29 unafanyika kwa hali ya utulivu, haki na amani huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka. Your browser is not able to display this video.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya dola vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi wa Oktoba 29 unafanyika kwa hali ya utulivu, haki na amani huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka. Your browser is not able to display this video.
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 8,048 Reaction score 15,651 Oct 13, 2025 #2 Angalia wanavyohangaika 😂
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,463 Oct 13, 2025 #3 Uchaguzi wa serikali za mitaa24 mlikiri kuwa numeuchezea nani awaamini tena? Mimi sitoenda kupiga kura.
Uchaguzi wa serikali za mitaa24 mlikiri kuwa numeuchezea nani awaamini tena? Mimi sitoenda kupiga kura.
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Oct 13, 2025 #4 Ataenda kupiga kura yeye na familia yake!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 14, 2025 #5 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 17, 2025 #6 Duh