Mjane wa Marehemu Lile Shetani lenu la ChatoKwanza kabisa umeongea Pumba. Kwamba CHADEMA inawarubuni wafanyabiashara ili waichangie badala ya kutunisha mitaji yao.
Kumbuka kuwa watu wanatambua kuwa wewe na wanaCCM wachache mnakula keki ya taifa. Hamuwajali Watanganyika.
Watanganyika wanataja CCM iondoke madarakani. Na wameishaichoka.
Wafanyabiashara wanaona uchumi umedorola. Hakuna fiscal policy nzuri.
Wanataka mabadiliko.