Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Takwa la kikatiba sio kupoteza muda kwakua katiba inatoa haki ya kutoa maoniMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema, "Lakini natambua kwamba kuna watu wanafanya Kampeni mtandaoni kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi, wanapoteza muda hili ni takwa la kikatiba....huwezi ukaibuka ukasema uchaguzi haupo."
Hii kitu ya kuto amini huo wanaoita uchaguzi kuwa hauta kuwepo kwa sisiemi hiyo, ni sawa na kuamini kuna kiumbe kitarudi kuwachukua wanadamu siku ya mwisho na kuwapeleka kunakuitwa mbinguni 🤔Ana uhakika uchaguzi utakuwepo?
Ngoja tutaona kama hizo kura ataweza kuzipiga mwenyew.kwa sababu sisi wananchi atushirikiMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema, "Lakini natambua kwamba kuna watu wanafanya Kampeni mtandaoni kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi, wanapoteza muda hili ni takwa la kikatiba....huwezi ukaibuka ukasema uchaguzi haupo."
Uchaguzi gani usiotupa haki ya kuchagua viongozi tunaowataka? Munatuhadaa kwa mbinu zilizo wazi kabisa, kila mwenye akili timamu anajua mnachofanya sio uchaguzi, bali ni mbinu za ujanja ujanja Tu WA kututawala!Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema, "Lakini natambua kwamba kuna watu wanafanya Kampeni mtandaoni kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi, wanapoteza muda hili ni takwa la kikatiba....huwezi ukaibuka ukasema uchaguzi haupo."
Wewe wa blue na nyekundu usipige. Short and clear.Wacheni ku dictate maisha ya watu.Misukule ya kijani itapiga kura
Amekuudhi?Katiza maudhi nunua kamba halafu utajua la kufanya.Uyo jamaa huwa anaongea kwa kiburi sana
Ni takwa la kikatiba ndio lakini sio lazima. Huwezi ukahesabu kura yangu kuwa imetumika kuichagua Serikali iliyoko madarakani kwa lazima. Nina hiali ya kwenda kupiga kura au La!Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema, "Lakini natambua kwamba kuna watu wanafanya Kampeni mtandaoni kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi, wanapoteza muda hili ni takwa la kikatiba....huwezi ukaibuka ukasema uchaguzi haupo."